Watumishi wa Mungu na Wanachama wa PPFT Wakisikiliza kwa makini kuhusu Misingi ya Imani ya Kipentecoste
Aliye simama ni Askofu Wilson Mwawogha makamu mwenyekiti wa PPFT Taifa akifafanua jambo katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Peacok Hotel wakati wa Kikao.
KUSHOTO NI MWENYEKITI WA PPFT TAIFA ASKOFU PIUS E. IKONGO WAKIWA NA KATIBU MKUU WA PPFT TAIFA ASKOFU D. GAMBA.
Jumanne, 4 Juni 2013
Mkurugenzi wa Hapari na Machapisho wa PPFT Taifa Mwalimu na Mtumishi wa Mungu Upendo
Karibu katika JIJI la Dar Es Salaam Jiji lenye Amani na Utulivu.