MICHEZO [SPORTS]

I
Ikongo Compassion itahakikisha inasaidiana na Uongozi wa Serekali upande wa  Michezo katika Wilaya ya Kilosa ili kuinua Vipaji mbalimbali vya Vijana katika kata zote za Wilaya.  Kwa wakati huu Askofu Ikongo akiendelea kutafuta Fedha kutoka kwa Wafadhili    mbalimbali Nje na Ndani ya Nchi ilikujenga uwanja wa kisasa kwaajili ya michezo, atadhamini michezo ya mpira wa miguu kwa kuanzisha IKONGO CUP. Kombe hili la Ikongo litashindanisha timu zote za Kata ili kupata timu moja bora na itakayoibuka kuwa mshindi wa Kombe la Ikongo na zawadi zingine mbalimbali watakazopatiwa na IKONGO CUP. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni