SIASA [POLITICS]


Askofu Pius Erasto Ikngo ni Mwana Siasa wa Vipindi. Kwa kawaida hujishughulisha sana na majukumu ya Kanisa pamoja na Kuhubiri Neno la Mungu katika Nchi mbalimbali. Isipokuwa wakati wowote inapofikia mwaka wa Uchaguzi mkuu wa Viongozi katika Taifa, husimamisha maswala ya Kikanisa na kuingia katika Siasa. Hivyo Askofu Ikongo huwa Mwana Siasa wa kipindi cha Uchaguzi tu, na si vinginevyo. Na hii ni kwasababu ndio taaluma yake katika Elimu aliyonayo  
ASKOFU PIUS ERASTO IKONGO AMEZALIWA  MWAKA 1968  KATIKA WILAYA MOSHI MJINI. AMEMALIZA SHULE YA MSINGI MWAKA 1982 HUKO NKWANSIRA ILIYOKO KATIKA WILAYA YA HAI MJINI. NI MTOTO WA MAREHEMU MZEE ERASTO IKONGO SHEBUJA ALIYE UWAWA WAKATI WA KAMPENI ZA KISIAISA MWAKA 1995 MOSHI MJINI NA KUZIKWA KATIKA MAKABURI YA SOWETO MOSHI KILIMANJARO. ASKOFU PIUS ERASTO IKONGO AMEMALIZA SHULE YA SECONDARI  KISASII  HUKO KITUI NCHINI KENYA  NA BAADA YA KUMALIZA ALIJIUNGA NA CHUO CHA BIBLIA MWAKA 1988 HADI MWAKA 1990 ALIPOMALIZA NA KUPATA DIPLOMA YA BIBLE THEOLOGY BAADA YA HAPO ALIMTUMIKIA MUNGU KATIKA NCHI MBALIMBALI NDIPO MWAKA 1998 ALIAMUA KUSOMA TENA KATIKA CHUO CHA GILIGILI  HIGHER EDUCATION  INSTITUTE MWAKA 1998 HADI 1999 NAKUPATA DIPLOMA YA PUBLLC  ADMINISTRATION. ALIENDELEA NA KAZI YA KUHUBIRI HUKU AKIWA KADA MWAMINIFU WA CHAMA CHA SIASA CCM HADI MWAKA 2010 ALIPOGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI JAPO KURA ZAKE HAZIKUTOSHA. ASKOFU IKONGO ALIJITOLEA KUKINADI CHAMA CHA CCM PAMOJA NA MGOMBEA ALIYE TEULIWA NA CHAMA CHAKE NA MATUNDA YA KAMPENI ZA KISIASA MWAKA 2010 VIONGOZI WOTE WA CHAMA CHA CCM MKOA WA KILIMANJARO WALIMPONGEZA SANA, NAKUSEMA HATAKAMA HATUKUWEZA KULIKOMBOA JIMBO LA MOSHI MJINI MZEE NDESAMBURO ALIPATA UPINZANI MKUBWA AMBAO HAKUUTENGEMEA, KWANI KWA  KAWAIDA MBUNGE NDESAMBURO HUWA HAFANYI KAMPENI LAKINI MWAKA 2010 ALIFANYA KAMPENI HADI NYUMBA KWA NYUMBA. KWA SASA HIVI  IKONGO AMEJIPANGA VIZURI SANA KUGOMBEA TENA UBUNGE MWAKA 2015 KATIKA JIMBO LA KILOSA ALIKOHAMISHIA MAKAZI YAKE HUKO NA KUENDESHA KILIMO CHA UMWAGILIAJI  PAMOJA NA MIRADI MBALIMBALI YA KUISAIDIA JAMII YA WANAKILOSA.
    Mlezi wa UWT Wilaya Askofu Pius Ikongo akiwa na Katibu wa UWT Wilaya ya Kisarawe wakiwa katika Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe tayari kumsubiri mgeni rasmi Mama Maria Nyerere katika sherehe ya uzindizi wa Mfuko wa Maendeleo ya mradi wa UWT kwaajili ya kuchimba visima 12 vya maji safi katika Wilaya ya Kisarawe.

 Mh. Mama Maria Nyerere Akipokelewa na kamati ya utekelezaji ya UWT Wilaya ya Kisarawe alipofika akiwa Mgeni Rasmi katika Chakula cha hisani kuzindua Mfuko wa maendeleo ya miradi ya UWT

  Mh. Mama Maria Nyerere akisalimiana na (DSO) Afisa wa Usalama wa Taifa Wilaya ya Kisarawe




Mheshimiwa Mama Maria Nyerere akisalimiana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe
    Mlezi wa UWT Wilaya ya Kisarawe na Uongozi wa UWT Wilaya wakimpokea Mheshimiwa Mama wa Taifa Mama Maria Nyerere katika Uzinduzi wa Ufuko wa Maendeleo ya UWT na Uchimbaji wa visima 12 vya maji safi Wilayani Kisarawe.

    Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe akimkaribisha Mama wa Taifa Mama Maria Nyerere Ofisini   kwake

    Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kisarawe akimpa kitabu cha kusaini wageni Mh.Mama Maria Nyrere katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

    Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya akimkaribisha Mh. Mama Maria Nyerere katika Ofisi yake ya Wilaya ya Kisarawe


















Hakuna maoni:

Chapisha Maoni