Ijumaa, 27 Septemba 2013

UTUNZAJI WA MAZINGIRA KILOSA

Hawa ni baadhi ya Wafanyakazi wa Ikongo Compassion  Group wakiwa katika utekelezaji wa kuweka chombo cha kuhifadhia taka ngumu katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kilosa. Hii ni moja ya mikakati ya Utuzaji wa Mazingiri unaofanywa na kutekelezwa na Kampuni hii ya IKONGO COMPASSION GROUP. Unakaribishwa sana katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa ili ujionee na kujifunza  mpango wa Usafi na Mazingira. Mara uingiapo katika Mji wa Kilosa Jilinde na kutupa taka ovyo, kwani ukikamatwa ukitupa taka ovyo utakuwa umetenda kosa na utashtakiwa.

KAMPUNI YA IKONGO COMPASSION GROUP  Inakukaribisha katika Hotel  kubwa na yakipekee iliyoko katika mji wa Kilosa. Picha unazoziona ni siku rasmi ya uzinduzi wa Hotel hiyo ya Kifahari. Ilizinduliwa rasmi na Mbio za Mwenge wa Uhuru. Maelezo zaidi na tarehe pamoja na majina tutayaandika hivi karibuni.