Jumanne, 29 Aprili 2014

Wana Bendi wa EAGT Korogwe

    Mmoja wa Waimbaji wa Nyimbo za Injili matata sana katika Mji wa Korogwe. Anatumika chini ya Huduma ya Kanisa la EAGT Majengo Korogwe Tanga. Tunaendelea kutafuta Jina na Mawasiliano kamili Pindi tu, tukiyapata tutayaweka wazi Ili kuwasiliana naye kwa Huduma Zaidi
Mmoja wa Waimbaji wa Nyimbo za Injili matata sana katika Mji wa Korogwe. Anatumika chini ya Huduma ya Kanisa la EAGT Majengo Korogwe Tanga. Tunaendelea kutafuta Jina na Mawasiliano kamili Pindi tu, tukiyapata tutayaweka wazi Ili kuwasiliana naye kwa Huduma Zaidi

Bishop Denis

Huyu ni Askofu na Dokta Denis wa Jimbo la Morogoro Kanisa la EAGT. Akisisitiza Waumni wa Kanisa lake la Mahali pamoja EAGT Morogoro Mjini, Kuhusu Kanisa la Mungu kuwa katika Hali ya Maombi.
   Huyu ni Rev. Magaga wa Kanisa la EAGT Handeni Mjini. Akiwa kanisani kwake siku aliyotembelewa na Profesor Ikongo Knisani kwake
    Profesor Ikongo Akihubiri Neno la Mungu katika Kanisa la EAGT  Iringa Mjini kwa Askofu wa Jimbo hilo
Profesor Ikongo Akihubiri Neno la Mungu katika Kanisa la EAGT  Iringa Mjini kwa Askofu wa Jimbo hilo
  Hawa ni Wazee wa Kanisa la EAGT Iringa Mjini, Wakiwa na Mama Askofu wa Jimbo hilo
Hawa ni Wazee wa Kanisa la EAGT Iringa Mjini, Wakiwa na Mama Askofu wa Jimbo hilo Kanisani siku ambayo Mr and Mrs Ronny Kilas Wakishuhudia muujiza wa Kupata Mtoto, na pia Mama kujifungu salama huku Mama na Mtoto wakiwa katika Afya njema, Sifa na Utukufu Apewe Mungu.
   Hawa ni Wazee wa Kanisa Pamoja na Katibu wa Kanisa la EAGT Iringa Mjini
Mr and Mrs Ronny Kilas Wakishuhudia muujiza wa Kupata Mtoto, na pia Mama kujifungu salama huku Mama na Mtoto wakiwa katika Afya njema, Sifa na Utukufu Apewe Mungu.
Profesor Ikongo Akihubiri Neno la Mungu katika Kanisa la EAGT  Iringa Mjini kwa Askofu wa Jimbo hilo
   Hawa ni Wazee wa Kanisa la EAGT Morogoro Mjini
Mwambaji maarufu wa Nyimbo za Injili Mtarajiwa katika Kanisa la EAGT Handeni Mjini
 Mke wa Mchungaji Magaga wa Kanisa la EAGT Handeni Mjini Akilisoma Neno la Mungu kwa Umakini Mkubwa
  Mwambaji maarufu wa Nyimbo za Injili Mtarajiwa katika Kanisa la EAGT Handeni Mjini

Ijumaa, 18 Aprili 2014

KONGAMANO IRINGA

BISHOP AND DR BOAZI HUYU NDIYE MTUMISHI AMBAYE MUNGU AMEMKABIDHI MJI WA IRINGA NA VITONGOJI VYAKE. KUPITIA HUDUMA YAKE WATU WENGI KATIKA MKOA WA IRINGA WAMEFUNGULIWA NA KUPONYWA MAGONJWA TOFAUTI

WAIMBAJI WA INJILI



 Hawa ni Waimbaji Maarufu wa Nyimbo za Injili Nchini Tanzania wakiwa katika Picha ya Pamoja na Catherin Pius Ikongo Mwanafunzi anayetarajia naye sikumoja atakuwa Mwimbaji kama walivyo wengine.
Kutoka kulia ni Shukrani,Janifa akifuatiwa na Ana maarufu Pindua nguvu za uchawi na mambo yote ya kishetani.
 Profesor Ikongo akulihubiri Neno la Mungu katika Huduma ya Askofu and Dokta Boazi wa Iringa Mjini, ambapo Mungu kwa mapenzi yake Kampa Upako maalum wa kuushika Mkoa huo.
 Catherin Pius Ikongo. Mwambaji na Mwanasheria Mtarajiwa
 Mwimbaji Ana kutoka Moshi kwa Jina Maarufu Pindua nguvu za shetani, ndiye aliyekuwa Mwimbaji Mualikwa katika Kongamano la siku Nne la Pasaka. Muhubiri ni Profesor Ikongo
 Mwibaji wa Nyimbo za Injili Shukrani kutoka Dar  Es Salaam. Akiwa na Furaha kubwa huku akijiandaa kwenda kumsifu Mungu katika Kongamano Mjini Iringa. Kama kawaida yake huwa anatembea na Mtumishi wa Mungu Profesa Ikongo katika Mikutana na Makongamano kokote aendako, Mtumishi huyo.
 Mwibaji wa Nyimbo za Injili Jenifa kutoka Dar  Es Salaam. Akiwa na Furaha kubwa huku akijiandaa kwenda kumsifu Mungu katika Kongamano Mjini Iringa. Kama kawaida yake huwa anatembea na Mtumishi wa Mungu Profesa Ikongo katika Mikutana na Makongamano kokote aendako, Mtumishi huyo.
 Mtumishi wa Mungu na Mwalimu wa Neno la Mungu Falavia Pius Ikongo akiwa amechemka kweli katika Kulifafanua Neno la Mungu ndani ya Kanisa la EAGT  Kisukulu Jijini Dar  ES  Salaam. Mwenyeji wake ni Mchungaji Letisia hayupo Pichani. Ukitaka kumualika Mwalimu huyu hasa kwa Semina za Wanawake na Vijana Mpigisimu namba 0757828492 ni Mwalimu ambaye Mungu anamtumia kwa Namna ya Tofauti.