Ijumaa, 18 Aprili 2014
WAIMBAJI WA INJILI
Hawa ni Waimbaji Maarufu wa Nyimbo za Injili Nchini Tanzania wakiwa katika Picha ya Pamoja na Catherin Pius Ikongo Mwanafunzi anayetarajia naye sikumoja atakuwa Mwimbaji kama walivyo wengine.
Kutoka kulia ni Shukrani,Janifa akifuatiwa na Ana maarufu Pindua nguvu za uchawi na mambo yote ya kishetani.
Profesor Ikongo akulihubiri Neno la Mungu katika Huduma ya Askofu and Dokta Boazi wa Iringa Mjini, ambapo Mungu kwa mapenzi yake Kampa Upako maalum wa kuushika Mkoa huo.
Catherin Pius Ikongo. Mwambaji na Mwanasheria Mtarajiwa
Mwimbaji Ana kutoka Moshi kwa Jina Maarufu Pindua nguvu za shetani, ndiye aliyekuwa Mwimbaji Mualikwa katika Kongamano la siku Nne la Pasaka. Muhubiri ni Profesor Ikongo
Mwibaji wa Nyimbo za Injili Shukrani kutoka Dar Es Salaam. Akiwa na Furaha kubwa huku akijiandaa kwenda kumsifu Mungu katika Kongamano Mjini Iringa. Kama kawaida yake huwa anatembea na Mtumishi wa Mungu Profesa Ikongo katika Mikutana na Makongamano kokote aendako, Mtumishi huyo.
Mwibaji wa Nyimbo za Injili Jenifa kutoka Dar Es Salaam. Akiwa na Furaha kubwa huku akijiandaa kwenda kumsifu Mungu katika Kongamano Mjini Iringa. Kama kawaida yake huwa anatembea na Mtumishi wa Mungu Profesa Ikongo katika Mikutana na Makongamano kokote aendako, Mtumishi huyo.
Mtumishi wa Mungu na Mwalimu wa Neno la Mungu Falavia Pius Ikongo akiwa amechemka kweli katika Kulifafanua Neno la Mungu ndani ya Kanisa la EAGT Kisukulu Jijini Dar ES Salaam. Mwenyeji wake ni Mchungaji Letisia hayupo Pichani. Ukitaka kumualika Mwalimu huyu hasa kwa Semina za Wanawake na Vijana Mpigisimu namba 0757828492 ni Mwalimu ambaye Mungu anamtumia kwa Namna ya Tofauti.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni