Mmoja wa Waimbaji wa Nyimbo za Injili matata sana katika Mji wa Korogwe. Anatumika chini ya Huduma ya Kanisa la EAGT Majengo Korogwe Tanga. Tunaendelea kutafuta Jina na Mawasiliano kamili Pindi tu, tukiyapata tutayaweka wazi Ili kuwasiliana naye kwa Huduma Zaidi
Mmoja wa Waimbaji wa Nyimbo za Injili matata sana
katika Mji wa Korogwe. Anatumika chini ya Huduma ya Kanisa la EAGT
Majengo Korogwe Tanga. Tunaendelea kutafuta Jina na Mawasiliano kamili
Pindi tu, tukiyapata tutayaweka wazi Ili kuwasiliana naye kwa Huduma
Zaidi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni