Huyu ni Askofu na Dokta Denis wa Jimbo la Morogoro Kanisa la EAGT. Akisisitiza Waumni wa Kanisa lake la Mahali pamoja EAGT Morogoro Mjini, Kuhusu Kanisa la Mungu kuwa katika Hali ya Maombi.
Huyu ni Rev. Magaga wa Kanisa la EAGT Handeni Mjini. Akiwa kanisani kwake siku aliyotembelewa na Profesor Ikongo Knisani kwake
Profesor Ikongo Akihubiri Neno la Mungu katika Kanisa la EAGT Iringa Mjini kwa Askofu wa Jimbo hilo
Profesor Ikongo Akihubiri Neno la Mungu katika Kanisa la EAGT Iringa Mjini kwa Askofu wa Jimbo hilo
Hawa ni Wazee wa Kanisa la EAGT Iringa Mjini, Wakiwa na Mama Askofu wa Jimbo hilo
Hawa ni Wazee wa Kanisa la EAGT Iringa Mjini, Wakiwa na Mama Askofu wa Jimbo hilo Kanisani siku ambayo Mr and Mrs Ronny Kilas Wakishuhudia muujiza wa Kupata Mtoto, na pia Mama kujifungu salama huku Mama na Mtoto wakiwa katika Afya njema, Sifa na Utukufu Apewe Mungu.
Hawa ni Wazee wa Kanisa Pamoja na Katibu wa Kanisa la EAGT Iringa Mjini
Mr and Mrs Ronny Kilas Wakishuhudia muujiza wa Kupata
Mtoto, na pia Mama kujifungu salama huku Mama na Mtoto wakiwa katika
Afya njema, Sifa na Utukufu Apewe Mungu.
Profesor Ikongo Akihubiri Neno la Mungu katika Kanisa la EAGT Iringa Mjini kwa Askofu wa Jimbo hilo
Hawa ni Wazee wa Kanisa la EAGT Morogoro Mjini
Mwambaji maarufu wa Nyimbo za Injili Mtarajiwa katika Kanisa la EAGT Handeni Mjini
Mke wa Mchungaji Magaga wa Kanisa la EAGT Handeni Mjini Akilisoma Neno la Mungu kwa Umakini Mkubwa
Mwambaji maarufu wa Nyimbo za Injili Mtarajiwa katika Kanisa la EAGT Handeni Mjini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni