Hawa ni baadhi ya
Wafanyakazi wa Ikongo Compassion Group
wakiwa katika utekelezaji wa kuweka chombo cha kuhifadhia taka ngumu katika
Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kilosa. Hii ni moja ya mikakati ya Utuzaji wa
Mazingiri unaofanywa na kutekelezwa na Kampuni hii ya IKONGO COMPASSION GROUP.
Unakaribishwa sana katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa ili ujionee na
kujifunza mpango wa Usafi na Mazingira.
Mara uingiapo katika Mji wa Kilosa Jilinde na kutupa taka ovyo, kwani ukikamatwa
ukitupa taka ovyo utakuwa umetenda kosa na utashtakiwa.

KAMPUNI YA IKONGO
COMPASSION GROUP Inakukaribisha katika
Hotel kubwa na yakipekee iliyoko katika
mji wa Kilosa. Picha unazoziona ni siku rasmi ya uzinduzi wa Hotel hiyo ya
Kifahari. Ilizinduliwa rasmi na Mbio za Mwenge wa Uhuru. Maelezo zaidi na
tarehe pamoja na majina tutayaandika hivi karibuni.