Jumatatu, 28 Julai 2014




OFISI YA IKONGO MWANGA

Hii ndiyo Ofisi ya IKONGO COMPASSION GROUP Iliyopo Mjini Mwanga karibu sana na Stendi mpya. Hapa ndipo wanapopokea Wageni wote wa Ofisi kutoka maeneo mbalimbali ili kupekwa katika Makao makuu ya Shirika. Ofisi hii inashughulika na mambo mengine mengi ya Kijamii, Hivyo unakaribishwa sana ili upate Huduma zete.