Ijumaa, 8 Agosti 2014

BAADHI YA WAFANYAKAZI WA IKONGO COMPASSION GROUP

                       

ALIYESIMAMA   KATIKATI NI MHE. KANAL MSTAAFU  MSUYA NA MWENYEKITI MSTAAFU  WA HALMASHAURI YA WILAYA MWANGA. AKIWA PAMOJA  NA WAFANYAKAZI  WA COMPASSION GROUP WILAYANI MWANGA KILIMANJARO TANZANIA.

MAKAO MAKUU YA IKONGO COMPASSION GROUP


WANAOONEKANA HAPA NI WAFANYAKAZI WA IKONGO COMPASSION GROUP WAKIWA KATIKA KUSAFISHA ENEO LA MAKAO MAKUU YA IKONGO COMPASSION GROUP LILILOPO KATIKA ENEO LA KISANGIRO WILAYANI MWANGA KILIMANJARO TANZANIA
HII NI OFISI YA IKONGO COMPASSION GROUP  WILAYANI MWANGA KILIMANJARO TANZANIA

MWENYEKITI WA PPFT PROFESSOR IKONGO


ALIYEVAA SUTI NYEUPE NI PROFESSOR IKONGO NA MWENYEKITI WA PPFT KITAIFA AKIWA NA MAASKOFU WA MADHEHEBU MBALIMBALI WA MAKANISA YA KIPENTECOSTE TANZANIA


ALIYEVAA SUTI NYEUPE NI PROFESSOR IKONGO NA MWENYEKITI WA PPFT KITAIFA AKIWA NA MAASKOFU WA MADHEHEBU MBALIMBALI WA MAKANISA YA KIPENTECOSTE TANZANIA

PROFESSOR IKONGO NA VIONGOZI MBALIMBALI WA JAMII