Jumanne, 21 Oktoba 2014
Jumatatu, 20 Oktoba 2014
Ijumaa, 8 Agosti 2014
BAADHI YA WAFANYAKAZI WA IKONGO COMPASSION GROUP
ALIYESIMAMA KATIKATI NI MHE. KANAL MSTAAFU MSUYA NA MWENYEKITI MSTAAFU WA HALMASHAURI YA WILAYA MWANGA. AKIWA PAMOJA NA WAFANYAKAZI WA COMPASSION GROUP WILAYANI MWANGA KILIMANJARO TANZANIA.
MAKAO MAKUU YA IKONGO COMPASSION GROUP
HII NI OFISI YA IKONGO COMPASSION GROUP WILAYANI MWANGA KILIMANJARO TANZANIA
MWENYEKITI WA PPFT PROFESSOR IKONGO
ALIYEVAA SUTI NYEUPE NI PROFESSOR IKONGO NA MWENYEKITI WA PPFT KITAIFA AKIWA NA MAASKOFU WA MADHEHEBU MBALIMBALI WA MAKANISA YA KIPENTECOSTE TANZANIA
Jumatatu, 28 Julai 2014
OFISI YA IKONGO MWANGA
Hii ndiyo Ofisi ya IKONGO COMPASSION GROUP Iliyopo Mjini Mwanga karibu sana na Stendi mpya. Hapa ndipo wanapopokea Wageni wote wa Ofisi kutoka maeneo mbalimbali ili kupekwa katika Makao makuu ya Shirika. Ofisi hii inashughulika na mambo mengine mengi ya Kijamii, Hivyo unakaribishwa sana ili upate Huduma zete.
Jumapili, 27 Julai 2014
Alhamisi, 22 Mei 2014
ASKOFU KAKOBE NI MCHOCHEZI
PENTECOSTE PASTORS
FELLOWSHIP TANZANIA
MAAZIMIO YA KIKAO
CHA VIONGOZI WA DINI KILICHOKAA TAREHE 19/5/2014 KATIKA UKUMBI WA UMOJA HOSTEL
MKOANI KILIMANJARO. SOMA NA UWAELIMISHE NA WENGINE WENYE KUITAKIA AMANI NCHI YETU TANZANIA,
Pamoja na kichwa cha habari hapo juu Viongozi wa DINI Mbili kubwa
hapa Nchini, Wakristo na Waislamu. Kwa
pamoja baada ya Semina iliyoendeshwa na
Askofu Pius Erasto Ikongo kutoka Dar Es
Salaam, dhidi ya Matamshi na Uzushi pamoja na Ushawishi mbaya unaofanywa na
Viongozi wa Dini.
Sisi Viongozi wa Dini ya Kiristo na Waislamu tuliohudhuria Semina hii
Mkoani Kilimanjaro tumetoa Maazimio ya pamoja Kama
ifuatavyo:-
- Kauli zote ambazo zimetolewa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellship Zakaria Kakobe Dhidi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuwa yeye sio Mungu kuwatangazia Uma wa Tanzania ni Kosa Kubwa kwasababu ni jambo ambalo amelitunga mwenyewe na kujijibu kwa vile hakuna Mtanzania yeyete aliyewahi kusema Nyerere ni Mungu.
Kauli hiyo ni mbaya na ina Mdhalilisha Mama
yetu mpendwa Mama Maria Nyerere Ambaye Anaheshimika katika Taifa hili .
Askofu Kakobe anatakiwa Kuomba Radhi kwa Watanzania
kutokana na Kauli Hiyo. Kwa pamoja Viongozi wa Dini tutaendelea kuheshimu na
kuenzi Amani na Utulivu ambao tuliachiwa na Mwasisi wetu Mwalimu Nyerere.
Tutaendelea Kumuombea Mama yetu Mama Maria Nyerere Mungu Ampe Afya Njema na
Maisha Marefu kwa Mchango wake kwa ajili ya Taifa letu la Tanzania.
Askofu Mkuu wa Kanisa la F G B F Kuhusu
kauli yake ya kwamba ATAIDAI TANGANYIKA
IRUDI
HATA KWA KUKATWA KICHWA. Kauli hizo ni hatari na hazipaswi kutamkwa na
Kiongozi au Askofu kama yeye kwani ni Kauli za
KIGAIDI.
Tunamtaka Askofu Kakobe Aelewe sasa
Tanzania ndio ipo kwenye Ramani ya Africa na Ulimwengu, hivyo Asiendelee
kupotosha Uma wa Watanzania kwa hisia zake. Hayo ni mambo ya Wanasiasa na
Asichanganye Siasa na Dini. Aidha awe na uamuzi wa kuacha Dini ili aingie
kwenye Siasa. KAULI ZAKE SISI VIONGOZI WA DINI TANZANIA DINI ZOTE KUU MBILI
WAKRISTO NA WAISILAMU TUMEZIKATAA.
- KUHUSU BUNGE LA KATIBA
Tumeona na tumezisoma Barua ambazo
zimeandikwa na Maaskofu, Askofu David Batenzi wa Kanisa la Free Pentecoste
Church Tanzania na Mwenyekiti wa PCT (CPCT) Pamoja na Askofu David Mwasota wa Kanisa la
NGA na Katibu mkuu wa PCT (CPCT) Kuwa Mhe. Rais Amewatenga
Wapentecoste, Sio za kweli ni Kauli zakupotosha
na za Uchochezi mkubwa wa kuondoa Amani na Utulivu tuliyonao katika Nchi
yetu. Sisi Viongozi wa Dini zote Mbili tuliyohudhuria Semina hii hapa Mkoani
Kilimanjaro, Tunawataka Askofu David Batenzi na Askofu David Mwasota Kufuta
Barua hizo kwamba Siyo Wapentecoste Waliziandika Barua hizo, bali ni Mawazo yao mabaya dhidi ya
Serekali yetu. Sisi Viongozi wa Dini Tunaendelea Kumheshimu Rais wetu ambaye
ndio chaguo la wengi Tanzania.
Tunawaomba wasitumie Mabaraza ya Wakristo kuwa Vyombo vya Kisiasa kwani Taasisi
za Kidini zinatakiwa zijenge Jamii kwa Mambo ya Kiroho na Kimwili kuhusu mambo
ya Mungu.
3.Viongozi wa
Dini wote kwa pamoja tuliohudhuri Semina hii, Tunamtaka Askofu Batenzi na
Askofu Mwasota Kufuta haraka sana
kauli ya Barua walioisaini wakidai kwamba Mhe.Rais anang’ang’ania Madaraka.
Rais amechaguliwa na Mamilioni ya Watanzania Kupitia Chama chake cha CCM
Kwa Kura
za Kishindo Kikubwa. Kusema ana ng’ang’ania ni Kauli Isiyokuwa na Heshima kwa Rais
wetu. Pia ikumbukwe kuwa muda wa Rais Kikwete kuwa madarakani kisheria
haujamalizika. Kwa hivyo siyo heshima kumtuhumu ya kuwa anang’ang’ania
madaraka.
- Tunampongeza sana Rais wetu mpendwa Dr Jakaya Mrisho Kikwete kwa Kuliongoza Taifa hili kwa AMANI NA UTULIVU, Pia Tanzania kwa sasa Inapitika kwa Urahisi karibu Nchi nzima, hayo yote ni baadhi ya Maendeleo mengi Makubwa sana na huu ndio Ukweli usiyopingika . Mungu Akupe afya Njema ili Uliongoze Taifa hili hata tutakapofikia Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.
MWISHO
Tunaomba Katiba Isiwe na Haraka Namna hii Wajumbe wote wa Tanzania Kwanza
na Ukawa Wasiwe na Haraka ya Katiba. Bali
Katiba Inahitaji Utulivu na Umakini na Usahihi: Katiba ndio Dira ya Taifa letu.
ASKOFU PIUS ERASTO IKONGO
MWENYEKITI
WA PPFT TAIFA
Ijumaa, 2 Mei 2014
EAGT KOROGWE MAJENGO
Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Kanisa la EAGT Askofu na Dokta Mwakipesile, akiwa na Mwinjilisti na Muhubiri wa Injili Profesor Pius Erasto Ikongo na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Tabata Mawenzi Jijini Dar Es Salaam Tanzania
Makamu wa Askofu wa Jimbo la Tanga Samweli Shemzigwa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Majengo Korogwe
Makamu wa Askofu wa Jimbo la Tanga Samweli Shemzigwa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Majengo Korogwe, Akiwa na Profesor Ikongo
Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Kanisa la EAGT Askofu na Dokta Mwakipesile, akiwa na Mwinjilisti na Muhubiri wa Injili Profesor Pius Erasto Ikongo na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Tabata Mawenzi Jijini Dar Es Salaam Tanzania
Kutoka kulia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Askofu na Dokta Mwaisabila, akiwa na Mwinjilisti na Muhubiri wa Injili Profesor Pius Erasto Ikongo na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Tabata Mawenzi Jijini Dar Es Salaam Tanzania

Makamu wa Askofu wa Jimbo la Tanga Samweli Shemzigwa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Majengo Korogwe, Akiwa na Mtoto wake Emanuel Shemzigwa na Mwananziki wa Nyimbo za Injili Mjini Tanga
Makamu wa Askofu wa Jimbo la Tanga Samweli Shemzigwa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Majengo Korogwe, Akiwa na Profesor Ikongo
Makamu wa Askofu wa Jimbo la Tanga Samweli Shemzigwa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Majengo Korogwe, Akiwa na Profesor Ikongo
Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Kanisa la EAGT Askofu na Dokta Mwakipesile, akiwa na Mwinjilisti na Muhubiri wa Injili Profesor Pius Erasto Ikongo na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Tabata Mawenzi Jijini Dar Es Salaam Tanzania
Kutoka kulia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Askofu na Dokta Mwaisabila, akiwa na Mwinjilisti na Muhubiri wa Injili Profesor Pius Erasto Ikongo na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Tabata Mawenzi Jijini Dar Es Salaam Tanzania
Kutoka kushoto ni Askofu na Dokta Mwakibolwa wa EAGT Jimbo la Temeke Jijini Dar Es Salaam akiwa na Makamu wa Askofu wa Jimbo la Tanga Bishop Shemzigwa
Kutoka kulia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Askofu na Dokta Mwaisabila, akiwa na Mwinjilisti na Muhubiri wa Injili Profesor Pius Erasto Ikongo na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Tabata Mawenzi Jijini Dar Es Salaam Tanzania
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)