BISHOP NICODAMASI NYENYE ALIOMBEA TAIFA LA TANZANIA
Askofu Nicodemasi Nyenye Akiongoza Maombi ya kuliombea Taifa la Tanzania pamoja na Viongozi wote wa Taifa. Imekuwa ni utaratibu wa huyu Askofu Nyenye aliyojiwekea baada ya Mungu kuzungumza naye ya kwamba Kila anapokuwa na Mkutano wa Injili siku ya mwisho ya Mkutano yeye pamoja na timu yake ya Injili hujinyima mambo mengi ya kimwili ili kuliombea Taifa pamoja na Rais wa Nchi. Waliovaa vazi lenye Rangi ya Bendera ya Taifa ni Kwanya ya Kanisa la EAGT Kigamboni Jijini Dar Es Salaam Tanzania. Unaemuona juu ya jukwaa ni Askofu Nyenye na Mkewe Wakiwa wamezama katika MAOMBI.
Hawa ni Wanakwaya ya EAGT Kigamboni Wakimwombea Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Viwanja vya Kanisa la CHEMICHEMI YA UPONYAJI KAJIUNGENI PUGU, DAR ES SALAAM.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni