Wakwanza kutoka kulia ni Mkurugenzi akifatiwa na Makamu wake, na watatu kutoka kulia ni Katubu wa TEBE Kanda ya Kusini mashariki na wa mwisho kutoka kulia ni Mwekahazina wa Kanda. Wakiwa katika Kongamano kubwa waliloliandaa kwa ufanisi mkubwa huko Mlandizi nje kidogo ya Jiji la Dar ES Esalaam Tanzania. RIPOTI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE
Watatu kutoka kulia ni Mtumishi wa Mungu Profesa Ikongo akisubiri kukaribishwa ili Kuhubiri Neno la Mungu katika Mkutano wa Nje ulioandaliwa na TEBE Kanda na ni Mkutano wa kwanza Profesa Ikongo Kuhubiri tangu kuamua kujiungu na Kanisa la EAGT na kuacha kutumia jina la Uaskofu kama alivyoachiwa maagizo na Mungu kupitia Mtumishi wa Mungu aliyetangulia mbinguni DR, Bishop M, Kulola.
Wakwanza kutoka kulia ni Mkurugenzi akifatiwa na
Makamu wake, na watatu kutoka kulia ni Katubu wa TEBE Kanda ya Kusini
mashariki na wa mwisho kutoka kulia ni Mwekahazina wa Kanda. Wakiwa
katika Kongamano kubwa waliloliandaa kwa ufanisi mkubwa huko Mlandizi
nje kidogo ya Jiji la Dar ES Esalaam Tanzania. RIPOTI KAMILI ITAKUJIA
HIVI PUNDE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni