Mtumishi wa Mungu Professor Pius Ikongo, anatarajiwa kuwa na Mkutano Mkubwa
wa Neno la Mungu katika Viwanja vya Kanisa la EAGT Kigamboni kwa Askofu
na Dokta Nicodemas Nyenye. Mkutano huo unatarajiwa kuaanza rasmi tarehe
22 hadi tarehe 29 / 12 / 2013. Wote mnakaribishwa, waleteni wagonjwa na Wenye shida mbalimbali Bwana Yesu Atawaponya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni