ASKOFU WA JIMBO LA KINONDONI REV.JOHN ZAKARI ALIYE SIMAMA UPANDE WA KULIA. AKIOMBA MUNGU ILI KUMKARIBISHA KATIBU WA TEBE NA MWINJILISTI WA KIMATAIFA KUTOKA MWANZA. YEYE NI KATIBU WA TEBE KANDA YA ZIWA, KATIKA MKUTANO HUO ALIHUBIRI INJILI ISIYO NA MAJADILIANO WATU WENGI WALIPONYWA NA KUOKOLEWA NA BWANA YESU, BAADA YA KUSIKIA NENO LA MUNGU
HII NI KWAYA YA EAGT KUTOKA MWANZA, NI MOJA YA KWAYA ILIYOIMBA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIYOANDALIWA NA KANISA LA EAGT KISUKULI DAR ES ESLAAM. NI WAIMBAJI WAZURI SANA NA WANAFAA KUIMBA KATIKA MIKUTANO YA NJE NA NDANI. WANAPATIKANA MWANZA KATIKA KANISA LA EAGT. MAWASILIANO TUTAYAWEKA SIKU NYINGINE.
HII NI KWAYA YA EAGT KUTOKA MWANZA, NI MOJA YA KWAYA
ILIYOIMBA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIYOANDALIWA NA KANISA LA
EAGT KISUKULI DAR ES ESLAAM. NI WAIMBAJI WAZURI SANA NA WANAFAA KUIMBA
KATIKA MIKUTANO YA NJE NA NDANI. WANAPATIKANA MWANZA KATIKA KANISA LA
EAGT. MAWASILIANO TUTAYAWEKA SIKU NYINGINE.
MTUMISHI WA MUNGU NA MUHUBIRI WA INJILI KUTOKA MWANZA AKIHUBIRI NENO LA MUNGU KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIYOANDALIWA NA KANISA LA EAGT KISUKULU DAR ES SALAAM TANZANI. JINA LAKE KAMILI HALIKUWEZA KUPATIKANA KWA HARAKA.
HII NI KWAYA YA EAGT KUTOKA MWANZA, NI MOJA YA KWAYA
ILIYOIMBA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIYOANDALIWA NA KANISA LA
EAGT KISUKULI DAR ES ESLAAM. NI WAIMBAJI WAZURI SANA NA WANAFAA KUIMBA
KATIKA MIKUTANO YA NJE NA NDANI. WANAPATIKANA MWANZA KATIKA KANISA LA
EAGT. MAWASILIANO TUTAYAWEKA SIKU NYINGINE.
HII NI KWAYA YA EAGT KUTOKA MWANZA, NI MOJA YA KWAYA
ILIYOIMBA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIYOANDALIWA NA KANISA LA
EAGT KISUKULI DAR ES ESLAAM. NI WAIMBAJI WAZURI SANA NA WANAFAA KUIMBA
KATIKA MIKUTANO YA NJE NA NDANI. WANAPATIKANA MWANZA KATIKA KANISA LA
EAGT. MAWASILIANO TUTAYAWEKA SIKU NYINGINE.
WAPILI KUTOKA KUSHOTO NI ASKOFU WA JIMBO LA KINONDONI AKIFUATIWA NA KATIBU WA TEBE KANDA YA KUSINI MASHARIKI WAKISUBIRI KUMKARIBISHA MUHUBIRI WA KIMATAIFA KUTOKA MWANZA ANAEONEKANA MBELE KABISA YANI WA KWANZA
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI JANET KUTOKA MWANZA. NI MWIMBAJI ANAYEMTUMIKIA MUNGU KWA NJIA YA UIMBAJI, HAPA NIWAKATI AKIKIMSIFU MUNGU KATIKA MKUTANO ULIOKUWA UKIFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA KISUKULU DAR ES SALAAM.. YEYE NI KUTOKA KATIKA JIJI LA MWANZA TANZANIA.
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI JANET KUTOKA MWANZA. NI
MWIMBAJI ANAYEMTUMIKIA MUNGU KWA NJIA YA UIMBAJI, HAPA NIWAKATI
AKIKIMSIFU MUNGU KATIKA MKUTANO ULIOKUWA UKIFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA
KISUKULU DAR ES SALAAM.. YEYE NI KUTOKA KATIKA JIJI LA MWANZA TANZANIA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni