NI MTUMISHI WA MUNGU NA MUHUBIRI WA INJILI PROFESSOR PIUS ERASTO IKONGO. NI MMOJA WA WATUMISHI WANAOTEMBEA KATIKA UPAKO WA KIFALME. ANAPATIKANA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM TANZANIA ALIAMUA KUACHA CHEO CHA UASKOFU NA KUBAKI AKIWA MUHUBIRI WA INJILI TU, KAMA ALIVYOTAKIWA NA MTUMISHI WA MUNGU DR, NA ASKOFU MKUU WA EAGT KABLA YA KUTANGULIA MBINGUNI. HATA HIVYO PROF IKONGO BAADA YA KUPOKEWA NA KAMATI KUU YA EAGT ALIKABIDHIWA KATIKA MIKONO YA ASKOFU NA OFISI YA KANDA YA KUSINI MASHARIKI. JAMBO AMBALO IKONGO ANASEMA KANISA LA EAGT ASKOFU NA DR MOSES KULOLA AMELIACHA KATIKA MIKONO YA VIONGOZI WA KOMAVU NA ANAAMINI NDILO KANISA PEKEE MUNGU AMELICHAGUA KULETA UAMSHO MKUBWA KATIKA NCHI YA TANZANI HIVI KARIBU. UNAWEZA KUWASILIANA NAE KWA NJIA YA SIMU NAMBA 0788-171176 AU 0752-558069 KAMA UNAHITAJI MKUTANO AU SEMINA HATA MAOMBEZI KWA KUTUMIA Email. pierako@yahoo.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni