Jumatano, 11 Desemba 2013

PROFESSOR PIUS ERASTO IKONGO

Mtumishi wa Mungu Professor Pius Ikongo, anatarajiwa kuwa na Mkutano Mkubwa wa Neno la Mungu katika Viwanja vya Kanisa la EAGT Kigamboni kwa Askofu na Dokta Nicodemas Nyenye. Mkutano huo unatarajiwa kuaanza rasmi tarehe 22 hadi tarehe 29 / 12 / 2013. Wote mnakaribishwa, waleteni wagonjwa na Wenye shida mbalimbali Bwana Yesu Atawaponya

Jumatano, 4 Desemba 2013

VIONGOZI WA TEBE KANDA YA KUSINI MASHARIKI

Wakwanza kutoka kulia ni Mkurugenzi akifatiwa na Makamu wake, na watatu kutoka kulia ni Katubu wa TEBE Kanda ya Kusini mashariki na wa mwisho kutoka kulia ni Mwekahazina wa Kanda. Wakiwa katika Kongamano kubwa waliloliandaa kwa ufanisi mkubwa huko Mlandizi nje kidogo ya Jiji la Dar  ES  Esalaam Tanzania. RIPOTI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE 
 Watatu  kutoka kulia ni Mtumishi wa Mungu Profesa Ikongo  akisubiri kukaribishwa ili Kuhubiri Neno la Mungu katika Mkutano wa Nje ulioandaliwa na TEBE Kanda na ni Mkutano wa kwanza Profesa Ikongo Kuhubiri tangu kuamua kujiungu na Kanisa la EAGT na kuacha kutumia jina la Uaskofu kama alivyoachiwa maagizo na Mungu kupitia Mtumishi wa Mungu aliyetangulia mbinguni DR, Bishop M, Kulola.