Jumanne, 29 Aprili 2014

Bishop Denis

Huyu ni Askofu na Dokta Denis wa Jimbo la Morogoro Kanisa la EAGT. Akisisitiza Waumni wa Kanisa lake la Mahali pamoja EAGT Morogoro Mjini, Kuhusu Kanisa la Mungu kuwa katika Hali ya Maombi.
   Huyu ni Rev. Magaga wa Kanisa la EAGT Handeni Mjini. Akiwa kanisani kwake siku aliyotembelewa na Profesor Ikongo Knisani kwake
    Profesor Ikongo Akihubiri Neno la Mungu katika Kanisa la EAGT  Iringa Mjini kwa Askofu wa Jimbo hilo
Profesor Ikongo Akihubiri Neno la Mungu katika Kanisa la EAGT  Iringa Mjini kwa Askofu wa Jimbo hilo
  Hawa ni Wazee wa Kanisa la EAGT Iringa Mjini, Wakiwa na Mama Askofu wa Jimbo hilo
Hawa ni Wazee wa Kanisa la EAGT Iringa Mjini, Wakiwa na Mama Askofu wa Jimbo hilo Kanisani siku ambayo Mr and Mrs Ronny Kilas Wakishuhudia muujiza wa Kupata Mtoto, na pia Mama kujifungu salama huku Mama na Mtoto wakiwa katika Afya njema, Sifa na Utukufu Apewe Mungu.
   Hawa ni Wazee wa Kanisa Pamoja na Katibu wa Kanisa la EAGT Iringa Mjini
Mr and Mrs Ronny Kilas Wakishuhudia muujiza wa Kupata Mtoto, na pia Mama kujifungu salama huku Mama na Mtoto wakiwa katika Afya njema, Sifa na Utukufu Apewe Mungu.
Profesor Ikongo Akihubiri Neno la Mungu katika Kanisa la EAGT  Iringa Mjini kwa Askofu wa Jimbo hilo
   Hawa ni Wazee wa Kanisa la EAGT Morogoro Mjini
Mwambaji maarufu wa Nyimbo za Injili Mtarajiwa katika Kanisa la EAGT Handeni Mjini
 Mke wa Mchungaji Magaga wa Kanisa la EAGT Handeni Mjini Akilisoma Neno la Mungu kwa Umakini Mkubwa
  Mwambaji maarufu wa Nyimbo za Injili Mtarajiwa katika Kanisa la EAGT Handeni Mjini

Ijumaa, 18 Aprili 2014

KONGAMANO IRINGA

BISHOP AND DR BOAZI HUYU NDIYE MTUMISHI AMBAYE MUNGU AMEMKABIDHI MJI WA IRINGA NA VITONGOJI VYAKE. KUPITIA HUDUMA YAKE WATU WENGI KATIKA MKOA WA IRINGA WAMEFUNGULIWA NA KUPONYWA MAGONJWA TOFAUTI

WAIMBAJI WA INJILI

 Hawa ni Waimbaji Maarufu wa Nyimbo za Injili Nchini Tanzania wakiwa katika Picha ya Pamoja na Catherin Pius Ikongo Mwanafunzi anayetarajia naye sikumoja atakuwa Mwimbaji kama walivyo wengine.
Kutoka kulia ni Shukrani,Janifa akifuatiwa na Ana maarufu Pindua nguvu za uchawi na mambo yote ya kishetani.
 Profesor Ikongo akulihubiri Neno la Mungu katika Huduma ya Askofu and Dokta Boazi wa Iringa Mjini, ambapo Mungu kwa mapenzi yake Kampa Upako maalum wa kuushika Mkoa huo.
 Catherin Pius Ikongo. Mwambaji na Mwanasheria Mtarajiwa
 Mwimbaji Ana kutoka Moshi kwa Jina Maarufu Pindua nguvu za shetani, ndiye aliyekuwa Mwimbaji Mualikwa katika Kongamano la siku Nne la Pasaka. Muhubiri ni Profesor Ikongo
 Mwibaji wa Nyimbo za Injili Shukrani kutoka Dar  Es Salaam. Akiwa na Furaha kubwa huku akijiandaa kwenda kumsifu Mungu katika Kongamano Mjini Iringa. Kama kawaida yake huwa anatembea na Mtumishi wa Mungu Profesa Ikongo katika Mikutana na Makongamano kokote aendako, Mtumishi huyo.
 Mwibaji wa Nyimbo za Injili Jenifa kutoka Dar  Es Salaam. Akiwa na Furaha kubwa huku akijiandaa kwenda kumsifu Mungu katika Kongamano Mjini Iringa. Kama kawaida yake huwa anatembea na Mtumishi wa Mungu Profesa Ikongo katika Mikutana na Makongamano kokote aendako, Mtumishi huyo.
 Mtumishi wa Mungu na Mwalimu wa Neno la Mungu Falavia Pius Ikongo akiwa amechemka kweli katika Kulifafanua Neno la Mungu ndani ya Kanisa la EAGT  Kisukulu Jijini Dar  ES  Salaam. Mwenyeji wake ni Mchungaji Letisia hayupo Pichani. Ukitaka kumualika Mwalimu huyu hasa kwa Semina za Wanawake na Vijana Mpigisimu namba 0757828492 ni Mwalimu ambaye Mungu anamtumia kwa Namna ya Tofauti.

Jumanne, 4 Machi 2014

PROFESOR IKONGO

HII NDIYO BARUA ALIYOANDIKIWA  ASKOFU BATENZI AMBAYE NI MWENYEKITI WA PCT AMBAYO KWA SASA BAADA YA KUGUNDUA WAMEJULIKANA NA SEREKALI WAMEBADILISHA JINA NA KUJIITA CPCT. KARIBU USOME BARUA INAYOFUATA HAPO CHINI.

 PENTECOSTE  PASTORS  FELLOWSHIP  TANZANIA

                                      ASKOFU  PIUS  ERASTO IKONGO
                                                            S.L.P  2730 DAR  ES                                                                  0788171176/0752558069
                                                       Email:pierako@yahoo.com
PENTECOSTOL COUNCIL
OF TANZANIA. PCT
P.O.BOX 62535
DAR  ES  SALAAM

YAH: KIKAO CHA PCT CHA TAREHE 26 NA 27 KUDAI ASKOFU IKONGO NDIYE ANAYE ICHONGANISHA SEREKALI NA PCT.

Baba  Askofu Batenzi Salaam.  kama kichwa cha Somo hapo juu ni Muhimu sana. Rejea kikao mlicho kaa na kunijadili nakuona ya kwamba mimi ndiye hasa ninaye husika kuichonganisha PCT na Serekali, na kupitisha eti kuuona uongozi wangu wa EAGT ili wawape ruhusa ya kuonana na mimi ili kunihoji juu ya swala hilo.

Mtumishi wa Mungu Baba Askofu nasikitika kusema kwamba Uongozi wa PCT umeshindwa kutambua ni nani mchonganishi wa PCT na Serekali kama sio hila na unafiki mnaweza kuchagua wenyewe.

Kwanza si kweli kwamba kuonana na mimi ili kuniuliza lolote ni lazima mpitie kwa Viongozi wangu wa EAGT kwani vikao vyote vilivyopita hamkufanya hivyo, bali mlinipigia simu au kuniita kwa njia ya SMS nami natii na kuja. Kupitia barua hii napenda kuwafahamisha Maaskofu na Wachungaji pamoja na Viongozi wote wa PCT ya kwamba Hizo ni mbinu za Uongozi wa Kitaifa wa PCT kuficha ukweli kwamba hawataki kuutambua Uongozi wa PPFT na kutambua kwamba mimi ndiye mwenyekiti halali  wa PENTECOSTE PASTORS FELLOWSHIP TANZANIA, NA KWAMBA KUMEKUWA NA MGOGORO MKUBWA KATI YA PCT NA PPFT. 

Mgogoro huu unatokana na Katibu Mkuu wa PCT kutumwa kwa Msajili wa Vyama vya Kijamii kuzuia PPFT Isisajiliwe, na hili sio kwetu tu, bali ninao ushahidi wa kutosha kwambwa Uongozi wa PCT umekuwa na tabia ya kujipendekeza kwa maslahi yao kwenda katika Ofisi ya Msajili kuishauri Serekali Isisajili Makanisa ya Kipentecoste bila kupitia kwao.

Na Watumishi wa Mungu wengi wameshindwa kupitia PCT kwa vile Ada inayolipishwa na PCT nikubwa kuliko ya Serekali. Serekali ni Tsh 20,000. kwa mwaka PCT ili kuwa mwanachama lazima ulipe 200,000. kwa mwaka.

Baba askofu Batenzi mimi EAGT ni Mshirika na Mchungaji tu, wa Kawaida ila mimi ni Mwenyekiti wa PPFT Kitaifa, Rejea kikao cha PCT NA PPFT Tarehe 28/3/2013 Ubungo Plaza na kukubaliana kwamba PPFT kwa vile Sio baraza bali ni Ushirika wa Wachungaji wa Kipentecoste hivyo PPFT itakuwa mwanachama wa PCT kwa sababu PCT ni baraza.

Natumia nafasi hii kuwaomba Maaskofu na Wachungaji wote wa Kipentecoste kutokubaliana na Ubinafsi, Unafiki wa Viongozi hawa wa PCT Wanaokaa vikao na kuomba kutafuta kuonana na mimi wakati tarehe 9 na tarehe 10 Waliniita kama kiongozi wa PPFT na kuhudhuria vikao hivyo.

Kikao cha tarehe 9 na 10 /2/2014 Niliwahoji sana kuhusu kama kweli wamepeleka Majina Ikulu watuonyeshe wajumbe wa kikao tujue ni majina mangapi na ni akinanani Wamependekezwa na PCT Kabla ya tarehe 11/2/2014 kujitokeza mbele ya Vyombo vya Habari ili Kuilaumu Serekali jambo ambalo mpaka tunaenda kukutana na Vyombo hivyo vya habari hawakutaka kuturidhisha Wajumbe wa kikao kwamba Majina yalipelekwa.

Na  hii ndio sababu mpaka leo Uongozi wa PCT haujaweka wazi kama walipeleka Majina Ikulu ni mangapi na ni akinanani.

KUHUSU MADAI YA ASKOFU  IKONGO KUICHONGANISHA SEREKALI NA PCT  SI KWELI.
Baba Askofu Batenzi nakuheshimu sana, ila kwa hili ni vema wewe ukiwa Mwenyekiti wa PCT Ukasema ukweli hata kama ukweli huo  utakugharimu ni vema kuusimamia na ndio sifa za Kiongozi Mcha Mungu na mwenye Hofu ya Mungu ambavyo ndivyo nilivyo kuwa na kuelewa.

Nakuomba unijibu Maswali yangu haya ndipo tutatambua Mchonganishi ni nani.

1.    Mwaka 2010 wakati wa Uchaguzi mkuu wa Serekali ni  nani alieandika barua kwa jina la PCT na kuisambaza Nchi nzima kuwa Serekali ya CCM isichaguliwe? Ni mimi au ni PCT ?

2.    Barua ya tarehe 19/3/2014 yenye maneno yanayosomeka nanukuu” HAKUNA SABABU YA SEREKALI ILIYOKO MADARAKANI KUENDELEA KUNG'ANG'ANIA KUONGOZA NCHI”  Barua hiyo Ilifikishwa Ikulu   Kwa niaba ya Wapentecoste wote Tanzania imesainiwa na Mwenyekiti wa PCT Taifa. Swali bado ni mimi naichonganisha PCT na Serekali?

3.    Barua ambayo ni Taarifa ya PCT  Taifa kwa niaba ya Wapentecoste wote Tanzania ya tarehe 11/2/2014 Inasema nanukuu “PCT ITATAFAKARI HATUA MADHUBUTI ZA KUCHUKUA DHIDI YA SEREKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI” Barua hiyo imesainiwa na Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa PCT Taifa. Je bado mnadai Askofu Ikongo ndiye anaichonganisha PCT na Serekali?

Mwenyekiti nadhani huo ni ushahidi wa kutosha kwamba Uongozi wa PCT Taifa unafanya kila mbinu kuchonganisha Wapentecoste na Serikali kwani mimi siamini kwamba Matamko hayo hapo juu ni ya Wapentecoste wote Tanzania. Ni wazi kwamba Uongozi wa PCT Unajaribu kuhodhi Upentecoste kanakwamba nyie ndio mna hati miliki ya Upentecoste. Mtakuwa mnajidanganya wenyewe, kwani hata mambo ya msingi ya kuanzishwa PCT mmeyaacha na kuanza mambo yenu wenyewe bila hata kushirikisha Maaskofu wote na Wapentecoste Tanzania.
Nasikitika kusema hata Wokovu wenu ninamashaka nao, kwa vile Vongozi wa PCT Mmekuwa Waongo,Wabinafsi, na Wanafiki na kwa sababu mimi nawambia ukweli ndio sababu mnanichukia na kuanza kukaa vikao kunijadili. Kumbukeni mliwaambia Wananchi wote Tanzania kwamba Bonke anakuja Tanzania, nilipowaambia wambieni watu ukweli kwamba Bonke haji, mkazusha oo Ikongo mbaya, Mlichangisha Pesa za Waumini kwamba Bonke anakuja na ilipofika siku ya Mkutano Bonke hakuja Hamkutubu dhambi hiyo bali mlijifunika funika ili muendelee kula pesa za Wapentecoste. Leo hii Uongozi wa PCT hamko tayari kuweka wazi mapato na matumizi ya Pesa kiasi cha laki mbili kila mwaka kwa makanisa 75 wanachama wa PCT bali mnamtafuta mchawi wakati mnajiloga wenyewe.

Mwisho nimeamua kuandika barua hii na kuweka wazi kila kitu japo mengi nimeyaacha, baada ya Wewe Mwenyekiti kunieleza kwa njia ya simu kwamba lazima mtaniita na kunihoji katika kikao cha tarehe 26 na 27/2/2014 kinyume chake haukuniita na kuamua kunijadili katika kikao hicho kwa malengo ya kuficha ukweli na kunipaka matope kwa jamii ya Wapentecoste.

Kupitia barua hii nachukua nafasi kuwaomba Maaskofu na Wachungaji wote Tanzania walio wanachama wa PCT kuwa makini na Uongozi wa PCT kwani Wanaichonganisha Serekali na Wapentecoste Tanzania kupitia Matamko wanayoyatoa bila kuwashirikisha Wanachama.

Pia ningeshauri Kila Kanisa la Kipentecoste lililosajiliwa kihalali kuandika barua Serekalini ya kukanusha kwamba halihusiki na Matamko makali yaliyotolewa na Viongozi wa PCT , Na  yakwamba KANISA HUSIKA HALIKUBALIANI NA MALUMBANO NA SEREKALI. Ukihitaji barua za nakala za barua za matamko hayo makali na ya uchonganishi kati ya Makanisa ya Kipentecoste na Serekali nitakupatia.

Sina mengi Ila nawatakia Viongozi wa PCT Kutubu na kurejea kwa BWANA YESU.

Nakala
     Maaskofu wa Kipentecoste wote Tanzania
     Wachungaji wa Kipentecoste wote Tanzania
     Msajili wa Vyama vya Kijamii Tanzania
     Katibu Mkuu Kiongozi Ofisi ya Rais

PROF. PIUS ERASTO IKONGO
                                                        MWENYEKITI  PPFT TAIFA

Jumamosi, 1 Februari 2014

PROFESOR PIUS IKONGO

NI MTUMISHI WA MUNGU NA MUHUBIRI WA INJILI PROFESSOR PIUS ERASTO IKONGO. NI MMOJA WA WATUMISHI WANAOTEMBEA KATIKA UPAKO WA KIFALME. ANAPATIKANA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM TANZANIA ALIAMUA KUACHA CHEO CHA UASKOFU NA KUBAKI AKIWA MUHUBIRI WA INJILI TU, KAMA ALIVYOTAKIWA NA MTUMISHI WA MUNGU DR, NA ASKOFU MKUU WA EAGT KABLA YA KUTANGULIA MBINGUNI. HATA HIVYO PROF IKONGO BAADA YA KUPOKEWA NA KAMATI KUU YA EAGT ALIKABIDHIWA KATIKA MIKONO YA ASKOFU NA OFISI YA KANDA YA KUSINI MASHARIKI. JAMBO AMBALO IKONGO ANASEMA KANISA LA EAGT ASKOFU  NA DR MOSES KULOLA AMELIACHA KATIKA MIKONO YA VIONGOZI WA KOMAVU NA ANAAMINI NDILO KANISA PEKEE MUNGU AMELICHAGUA KULETA UAMSHO MKUBWA KATIKA NCHI YA TANZANI HIVI KARIBU. UNAWEZA KUWASILIANA NAE KWA NJIA YA SIMU NAMBA 0788-171176 AU 0752-558069 KAMA UNAHITAJI MKUTANO AU SEMINA HATA MAOMBEZI KWA KUTUMIA Email. pierako@yahoo.com

WAIMBAJI KUTOKA MWANZA

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI WA KIMATAIFA DADA JANET MOSHI MASSATU KUTOKA MWANZA AKIMSIFU MUNGU KATIKA MKUTANO WA NENO LA MUNGU ULIYOANDALIWA NA KANISA LA EAGT KISUKULU JIJI DAR ES SALAAM TANZANI

MKUTANO WA INJILI EAGT KISUKULU

 ASKOFU WA JIMBO LA KINONDONI REV.JOHN ZAKARI ALIYE SIMAMA UPANDE WA KULIA. AKIOMBA MUNGU ILI KUMKARIBISHA KATIBU WA TEBE NA MWINJILISTI WA KIMATAIFA KUTOKA MWANZA. YEYE NI KATIBU WA TEBE KANDA YA ZIWA, KATIKA MKUTANO HUO ALIHUBIRI INJILI ISIYO NA MAJADILIANO WATU WENGI WALIPONYWA NA KUOKOLEWA NA BWANA YESU, BAADA YA KUSIKIA NENO LA MUNGU
 HII NI KWAYA YA EAGT KUTOKA MWANZA, NI MOJA YA KWAYA ILIYOIMBA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIYOANDALIWA NA KANISA LA EAGT KISUKULI DAR ES ESLAAM. NI WAIMBAJI WAZURI SANA NA WANAFAA KUIMBA KATIKA MIKUTANO YA NJE NA NDANI. WANAPATIKANA MWANZA KATIKA KANISA LA EAGT. MAWASILIANO TUTAYAWEKA SIKU NYINGINE.

 MTUMISHI WA MUNGU NA MUHUBIRI WA INJILI KUTOKA MWANZA AKIHUBIRI NENO LA MUNGU KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIYOANDALIWA NA KANISA LA EAGT KISUKULU DAR ES SALAAM TANZANI. JINA LAKE KAMILI HALIKUWEZA KUPATIKANA KWA HARAKA.
 HII NI KWAYA YA EAGT KUTOKA MWANZA, NI MOJA YA KWAYA ILIYOIMBA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIYOANDALIWA NA KANISA LA EAGT KISUKULI DAR ES ESLAAM. NI WAIMBAJI WAZURI SANA NA WANAFAA KUIMBA KATIKA MIKUTANO YA NJE NA NDANI. WANAPATIKANA MWANZA KATIKA KANISA LA EAGT. MAWASILIANO TUTAYAWEKA SIKU NYINGINE.
 HII NI KWAYA YA EAGT KUTOKA MWANZA, NI MOJA YA KWAYA ILIYOIMBA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIYOANDALIWA NA KANISA LA EAGT KISUKULI DAR ES ESLAAM. NI WAIMBAJI WAZURI SANA NA WANAFAA KUIMBA KATIKA MIKUTANO YA NJE NA NDANI. WANAPATIKANA MWANZA KATIKA KANISA LA EAGT. MAWASILIANO TUTAYAWEKA SIKU NYINGINE.
 WAPILI KUTOKA KUSHOTO NI ASKOFU WA JIMBO LA KINONDONI AKIFUATIWA NA KATIBU WA TEBE KANDA YA KUSINI MASHARIKI WAKISUBIRI KUMKARIBISHA MUHUBIRI WA KIMATAIFA KUTOKA MWANZA ANAEONEKANA MBELE KABISA YANI WA KWANZA
 MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI JANET KUTOKA MWANZA. NI MWIMBAJI ANAYEMTUMIKIA MUNGU KWA NJIA YA UIMBAJI, HAPA NIWAKATI AKIKIMSIFU MUNGU KATIKA MKUTANO ULIOKUWA UKIFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA KISUKULU DAR ES SALAAM.. YEYE NI KUTOKA KATIKA JIJI LA MWANZA TANZANIA.

Jumatano, 11 Desemba 2013

PROFESSOR PIUS ERASTO IKONGO

Mtumishi wa Mungu Professor Pius Ikongo, anatarajiwa kuwa na Mkutano Mkubwa wa Neno la Mungu katika Viwanja vya Kanisa la EAGT Kigamboni kwa Askofu na Dokta Nicodemas Nyenye. Mkutano huo unatarajiwa kuaanza rasmi tarehe 22 hadi tarehe 29 / 12 / 2013. Wote mnakaribishwa, waleteni wagonjwa na Wenye shida mbalimbali Bwana Yesu Atawaponya

Jumatano, 4 Desemba 2013

VIONGOZI WA TEBE KANDA YA KUSINI MASHARIKI

Wakwanza kutoka kulia ni Mkurugenzi akifatiwa na Makamu wake, na watatu kutoka kulia ni Katubu wa TEBE Kanda ya Kusini mashariki na wa mwisho kutoka kulia ni Mwekahazina wa Kanda. Wakiwa katika Kongamano kubwa waliloliandaa kwa ufanisi mkubwa huko Mlandizi nje kidogo ya Jiji la Dar  ES  Esalaam Tanzania. RIPOTI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE 
 Watatu  kutoka kulia ni Mtumishi wa Mungu Profesa Ikongo  akisubiri kukaribishwa ili Kuhubiri Neno la Mungu katika Mkutano wa Nje ulioandaliwa na TEBE Kanda na ni Mkutano wa kwanza Profesa Ikongo Kuhubiri tangu kuamua kujiungu na Kanisa la EAGT na kuacha kutumia jina la Uaskofu kama alivyoachiwa maagizo na Mungu kupitia Mtumishi wa Mungu aliyetangulia mbinguni DR, Bishop M, Kulola.
Wakwanza kutoka kulia ni Mkurugenzi akifatiwa na Makamu wake, na watatu kutoka kulia ni Katubu wa TEBE Kanda ya Kusini mashariki na wa mwisho kutoka kulia ni Mwekahazina wa Kanda. Wakiwa katika Kongamano kubwa waliloliandaa kwa ufanisi mkubwa huko Mlandizi nje kidogo ya Jiji la Dar  ES  Esalaam Tanzania. RIPOTI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE 

Jumapili, 24 Novemba 2013

BISHOP NICODAMASI NYENYE ALIOMBEA TAIFA LA TANZANIA

Askofu Nicodemasi Nyenye Akiongoza Maombi ya kuliombea Taifa la Tanzania pamoja na Viongozi wote wa Taifa. Imekuwa ni utaratibu wa huyu Askofu Nyenye aliyojiwekea baada ya Mungu kuzungumza naye ya kwamba Kila anapokuwa na Mkutano wa Injili siku ya mwisho ya Mkutano yeye pamoja na timu yake ya Injili hujinyima mambo mengi ya kimwili ili kuliombea Taifa pamoja na Rais wa Nchi. Waliovaa vazi lenye Rangi ya Bendera ya Taifa ni Kwanya ya Kanisa la EAGT Kigamboni Jijini Dar  Es  Salaam Tanzania. Unaemuona juu ya jukwaa ni Askofu Nyenye na Mkewe Wakiwa wamezama katika MAOMBI.
Hawa ni Wanakwaya ya EAGT Kigamboni Wakimwombea Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Viwanja vya Kanisa la CHEMICHEMI YA UPONYAJI KAJIUNGENI PUGU, DAR  ES SALAAM.

ASKOFU WA KANDA YA MASHARIKI YA PWANI  EAGT DR  N.NYENYE  AKIOMBEA WATU KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIO ANDALIWA NA KANISA LA EAGT  CHEMICHEMI YA UPONYAJI. KWA MCHUNGAJI  KIONGOZI WA KANISA HILO, ROMANUSI  SAMBALA.
ASKOFU WA KANDA YA MASHARIKI YA PWANI  EAGT DR  N.NYENYE  AKIOMBEA WATU KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIO ANDALIWA NA KANISA LA EAGT  CHEMICHEMI YA UPONYAJI. KWA MCHUNGAJI  KIONGOZI WA KANISA HILO, ROMANUSI  SAMBALA